BALOZI ZENA AKUTANA NA GAVANA WA RIYADH, KUKUZA UHUSIANO WA TANZANIA NA SAUDI ARABIA
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Mheshimiwa Mha. Zena Ahmed Said, amekutana na kufanya mazungumzo na Gavana wa Jiji la Riyadh, Mwanamfalme Faisal bin Bandar bin Abdulaziz Al Saud, ofisini kwake… Read More








