Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania nchini Saudi Arabia wakiwa na Balozi Ali J. Mwadini baada ya kusaini Kitabu cha Maombolezi katika kumuenzi Mhe. Benjamin William Mkapa, Rais wa Tatu wa Tanzania.