Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Saudi Arabai Mheshimiwa Dkt. Moh'd Juma Abdalla ametembealea Vyuo Vikuu viwili vilivyopo Riaynd, Saudi Arabia.