Leo tarehe 25 Mei,2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia , Mwana wa Kifalme Mhe. Faisal Bin Farhan Al Saud Ikulu Jijini Dar-es-salaam.