Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia alipotembelea Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Saba Saba jana 

  • Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Mh Hemed Mgaza, akipata maelekezo yanayohusu utalii wa Tanzania kutoka kwa Aloyce Songay, Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni Binafsi ya Hifadhi Mazingira Karatu (HIMAKA)
  • Balozi wa Tanzania nchini Saud Arabia, HE Hemed Mgaza, akiwa kwenye banda la Mamlaka ya Korosho Tanzania katika Maonyesho ya Kimataifa ya Saba Saba nchini Tanzania.
  • Balozi wa Tanzania nchini Saud Arabia, HE Hemed Mgaza, akiwa kwenye banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika Maonyesho ya Kimataifa ya Sabasaba nchini Tanzania.